Uza Mziki Wako

Nyumbani   /   Huduma Zetu

Jinsi gani Ya kuuza Mziki Wako

Huu ndo utaratibu na mlolongo ni jinsi gani ya kuuza mziki/Album yako, Kwanza Sio rahisi kuweka mziki wako kwenye Digital Platforms Na Kuanza Kulipwa, Fata Utaratibu na Maelekezo hapa chini.

1.   Unapakia (upload) Mziki Wako

Unapakia(Upload) Mziki Wako na Kutoa Taarifa Kamili Kuhusu Nyimbo Yako, Ili iwe rahisi kuweka nyimbo yako kwenye Digital Platforms.

2.   Tunautuma Wimbo/Album Yako Kwenye Digital Platforms

Bmstars utautuma wimbo wako kwenye Digital Platforms Zote, Pindi nyimbo yako itakapo kuwa tayari kwenye hizo Digital Platforms, Utapewa taarifa kwa haraka zaidi na mwenendo mzima wa kazi yako.

3.   Unapata Malipo

Kila mda watu wanavyo icheza(Play) nyimbo yako Kwenye Spotify, Na kila mtu anapo ipakua(Download) nyimbo yako kwenye Itune Unalipwa, Na Mapato Yaningia moja kwa moja kwenye Akaunti Yako.