Tangaza Nyimbo

Nyumbani   /   Huduma Zetu

Jinsi Ya Kutangaza Nyimbo Zako

Jitangaze Mwenyewe Kwa Wasikilizaji Wapya, Na Jiunganishe Na Mashabiki Wapya Kutoka Sehemu Tofauti Tofauti. Uku ukiwa Nyumbani Au Kwenye Bara bara, Anza sasa wakati wako ni huu.

Tangaza Mziki Wako Kwa Ku-share Link moja ilionganisha Digital Platforms Zote Ambazo Nyimbo Inapatikana Kwa Feature.fm, Pia Pata wasikilizaji na Mashabiki Wapya Kupitia Show.co

Pata Wasikilizaji Wapya Na Mashabiki Wapya Kutoka Sehemu Tofauti Tofauti Kupitia Bmstars Social, Ambapo Nyimbo Zako Zita dhaminiwa kufika Mbali Zaidi.

Tengeneza Lylic, na Video Promo Ya Muziki wako, ndani ya dakika chache zaidi na rutor, Bonyeza Hapa.