Tuna Weka Na Kusambaza Nyimbo Yako Kwenye Zaidi ya 150+ Digital Platforms Zote Duniani, Itakayokuwezesha kujitengenezea Kipato kikubwa zaidi.
Tunaisambaza Nyimbo Yako Na kukuongezea Mashabiki Wapya Kila siku, Kupitia wimbo wako.
Tunaweka content ID na kukusanya Mapato yote ya mziki wako kwa watu walioutumia Kwenye Youtube Channel zao Kwa namna moja ama nyingine.
Bmstars ni njia rahisi kwa mwanamziki kuweka nyimbo zake Apple music, Itune, Spotify, Deezer, Tidal, Amazon Music, Pandora n.k, Pia Kutangaza nyimbo zake kimataifa na kufikia watu wengi zaidi duniani.
Utapata Sync licensing kwa TV, films, na games pia nyimbo Yako Itasajiliwa Kimataifa kupitia ISRC na UPC.
Bmstars ulinda kazi yako YOUTUBE kupitia content Id Program, na kuhakikisha haki miliki ya kazi yako inabaki kwa mtoa maudhui.
Tunaweka nyimbo kwenye Digital Platforms Zote Apple music, Itune, Spotify, Boomplay music, Deezer etc, Pia tunatangaza nyimbo yako kimataifa na kufikia watu wengi zaidi duniani, Anza sasa Kufanya kazi na Bmstars Distribution.