Music Distribution

Tuna Weka Na Kusambaza Nyimbo Yako Kwenye Zaidi ya 150+ Digital Platforms Zote Duniani, Itakayokuwezesha kujitengenezea Kipato kikubwa zaidi.

Tangaza Nasi Mziki Wako Na Ufike Mbali Zaidi

Tunaisambaza Nyimbo Yako Na kukuongezea Mashabiki Wapya Kila siku, Kupitia wimbo wako.

Youtube Monetization

Tunaweka content ID na kukusanya Mapato yote ya mziki wako kwa watu walioutumia Kwenye Youtube Channel zao Kwa namna moja ama nyingine.

Wasanii Tunaofanya nao Kazi

Lordeyes

Tony treez

Nally Chugaprisences

Godfrey Steven

Golden Dee

Stone Gold

24Brunoh

Mt. Maria Consolata SUA

Kwanini Bmstars

Bmstars ni njia rahisi kwa mwanamziki kuweka nyimbo zake Apple music, Itune, Spotify, Deezer, Tidal, Amazon Music, Pandora n.k, Pia Kutangaza nyimbo zake kimataifa na kufikia watu wengi zaidi duniani.

LICENSING

Utapata Sync licensing kwa TV, films, na games pia nyimbo Yako Itasajiliwa Kimataifa kupitia ISRC na UPC.

Content ID

Bmstars ulinda kazi yako YOUTUBE kupitia content Id Program, na kuhakikisha haki miliki ya kazi yako inabaki kwa mtoa maudhui.

Bmstars Distributor

Tunaweka nyimbo kwenye Digital Platforms Zote Apple music, Itune, Spotify, Boomplay music, Deezer etc, Pia tunatangaza nyimbo yako kimataifa na kufikia watu wengi zaidi duniani, Anza sasa Kufanya kazi na Bmstars Distribution.

  • Uza Mziki Wako Kwenye Apple, Spotify & Boomplay
  • Tangaza Nasi Mziki Wako Na Ufike Mbali Zaidi
  • Uza Mziki Wako Kwenye Facebook & Youtube
  • Tangaza Mziki Wako Kwenye Social Media